dholuo

DHOLUO. BIBLE

About the Dholuo BibleSiku Sita za Uumbaji na Sabato

1Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. 2Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji. 3Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru. 4Mungu akaiona nuru, ya kuwa ni njema; Mungu akatenga nuru na giza. 5Mungu akaiita nuru Mchana, na giza akaliita Usiku. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku moja.

6Mungu akasema, Na liwe anga katikati ya maji, likayatenge maji na maji. 7Mungu akalifanya anga, akayatenga yale maji yaliyo juu ya anga na yale maji yaliyo chini ya anga; ikawa hivyo. 8Mungu akaliita lile anga Mbingu. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya pili.

9Mungu akasema, Maji yaliyo chini ya mbingu na yakusanyike mahali pamoja, ili pakavu paonekane; ikawa hivyo. 10Mungu akapaita pale pakavu Nchi; na makusanyiko ya maji akayaita Bahari; Mungu akaona ya kuwa ni vyema. 11Mungu akasema, Nchi na itoe majani, mche utoao mbegu, na mti wa matunda uzaao matunda kwa jinsi yake, ambao mbegu zake zimo ndani yake, juu ya nchi; ikawa hivyo. 12Nchi ikatoa majani, mche utoao mbegu kwa jinsi yake, na mti uzaao matunda, ambao mbegu zake zimo ndani yake, kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema. 13Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya tatu.

14Mungu akasema, Na iwe mianga katika anga la mbingu ili itenge kati ya mchana na usiku; nayo iwe ndiyo dalili na majira na siku na miaka; 15tena iwe ndiyo mianga katika anga la mbingu itie nuru juu ya nchi; ikawa hivyo. 16Mungu akafanya mianga miwili mikubwa, ule mkubwa utawale mchana, na ule mdogo utawale usiku; akafanya na nyota pia. 17Mungu akaiweka katika anga la mbingu, itie nuru juu ya nchi 18na kuutawala mchana na usiku na kutenga nuru na giza; Mungu akaona ya kuwa ni vyema. 19Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya nne.

20Mungu akasema, Maji na yajawe kwa wingi na kitu kiendacho chenye uhai, na ndege waruke juu ya nchi katika anga la mbingu. 21Mungu akaumba nyangumi wakubwa, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho, ambavyo maji yalijawa navyo kwa wingi kwa jinsi zao, na kila ndege arukaye, kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema. 22Mungu akavibarikia, akisema, Zaeni, mkaongezeke, mkayajaze maji ya baharini, ndege na wazidi katika nchi. 23Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya tano.

24Mungu akasema, Nchi na izae kiumbe hai kwa jinsi zake, mnyama wa kufugwa, nacho kitambaacho, na wanyama wa mwitu kwa jinsi zake; ikawa hivyo. 25Mungu akafanya mnyama wa mwitu kwa jinsi zake, na mnyama wa kufugwa kwa jinsi zake, na kila kitu kitambaacho juu ya nchi kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema. 26Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi. 27Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba. 28Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi. 29Mungu akasema, Tazama, nimewapa kila mche utoao mbegu, ulio juu ya uso wa nchi yote pia, na kila mti, ambao matunda yake yana mbegu; vitakuwa ndivyo chakula chenu; 30na chakula cha kila mnyama wa nchi, na cha kila ndege wa angani, na cha kila kitu kitambaacho juu ya nchi, chenye uhai; majani yote ya miche, ndiyo chakula chenu; ikawa hivyo. 31Mungu akaona kila kitu alichokifanya, na tazama, ni chema sana. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya sita.DHOLUO. BIBLE

A bout Luo people

After mastering Dholuo, Willis together with A.E Pleydell another CMS missionary translated and arranged for the publication of the Gospel of Mark in 1911, Luke and John in 1912 by the BFBS, London.
In south Nyanza A.A.Carscallen of the Seventh Day Adventist Mission translated the Gospel of Mathew which was published by the BFBS in in 1914 while J.F Clarke of the African Inland Mission translated the book of Acts which was published in 1915.
It was left to A.E Pleydell to translate the remaining books, revise some of the earlier ones (e.g Mark, Luke, John, James in 1917, Romans to Philippians, Titus in 1921, John 1924) and co-ordinate the effort, which saw the first publication of the Luo New Testament in 1926 by the BFBS, London. The first book the Old Testament did not appear until the year 1933.this was the first work of Grace A.
Clarke of the seventh Adventist Mission (SDAM) assisted by William Ogembo and Paul Mboya among other native speakers. However the final Old Testament translation which appeared in 1953 published by the BFBS was mainly the work of Grace A. Clarke (SDAM), W.E. Owen (CMS), and H. Capen (AIM). This was a good example of the interdenominational cooperation and endeavor. The same cooperative spirit was very much evidenced in the move to do another new common language translation. The first portion of the new translation of the Gospel of John appeared in 1962, followed by Mathew in 1963, Mark 1964 and Luke 1966.the common language New Testament appeared in 1968 published by the Bible Society of East Africa. This new effort was the work of A.W. Mayor (CMS), Roy L.Stafford(CMS), H&A. Capen (AIM) assisted by P.Kusmin ( Finnish Lutheran Mission) and a number of native speakers including Daniel Songa, Daniel Ongile , C.Skoda and Barack Omolo Iro.
The final interconfessional Bible with the deuterocanonical books appeared in 1977 published by the Bible Society of Kenya. Roy Stafford with Jacob G. Ouko,Nikon Owor and J.Ouma assisted by a committee of reviewers are created with the actual work of translating the OT and coordinating the effort in language speaking area to make the interconfessional Bible available to the churches. This was the first complete bible published by the Bible Society of Kenya which contained deuterocanonical books.

Get Involved

Contact Us

Bible Society of Kenya

Langata Rd, Nairobi
Nairobi
Kenya
72983 00200
Tel: +254-20-6002827/6002807/6002681
E-mail: info@biblesociety-kenya.org
Website: http://biblesociety-kenya.org/

Swahili Bible2

[R-slider id=”2″]

Swahili Bible

Welcome to the Swahili Bible Website.

Swahili.Bible

Welcome to Swahili Bible site! Swahili, also known as Kiswahili, is a Bantu language and the first language of the Swahili people. It is a lingua franca of the African Great Lakes region and other parts of eastern and southeastern Africa, including Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Mozambique and the Democratic Republic of the Congo. It is estimated that around 15 Million users speak it. The New Testament was first translated into Swahili around 1850. United Bible Societies is working towards making this Bible available to all who need it.

title

Bible Society of Kenya

Bible Society of Kenya

Bible House, Langata Road
Madaraka, Nairobi
PO Box 72983
Tel: 254 20602807
E-mail: info@biblesociety-kenya.org

Siku Sita za Uumbaji na Sabato

1Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. 2Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji. 3Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru. 4Mungu akaiona nuru, ya kuwa ni njema; Mungu akatenga nuru na giza. 5Mungu akaiita nuru Mchana, na giza akaliita Usiku. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku moja.

6Mungu akasema, Na liwe anga katikati ya maji, likayatenge maji na maji. 7Mungu akalifanya anga, akayatenga yale maji yaliyo juu ya anga na yale maji yaliyo chini ya anga; ikawa hivyo. 8Mungu akaliita lile anga Mbingu. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya pili.

9Mungu akasema, Maji yaliyo chini ya mbingu na yakusanyike mahali pamoja, ili pakavu paonekane; ikawa hivyo. 10Mungu akapaita pale pakavu Nchi; na makusanyiko ya maji akayaita Bahari; Mungu akaona ya kuwa ni vyema. 11Mungu akasema, Nchi na itoe majani, mche utoao mbegu, na mti wa matunda uzaao matunda kwa jinsi yake, ambao mbegu zake zimo ndani yake, juu ya nchi; ikawa hivyo. 12Nchi ikatoa majani, mche utoao mbegu kwa jinsi yake, na mti uzaao matunda, ambao mbegu zake zimo ndani yake, kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema. 13Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya tatu.

14Mungu akasema, Na iwe mianga katika anga la mbingu ili itenge kati ya mchana na usiku; nayo iwe ndiyo dalili na majira na siku na miaka; 15tena iwe ndiyo mianga katika anga la mbingu itie nuru juu ya nchi; ikawa hivyo. 16Mungu akafanya mianga miwili mikubwa, ule mkubwa utawale mchana, na ule mdogo utawale usiku; akafanya na nyota pia. 17Mungu akaiweka katika anga la mbingu, itie nuru juu ya nchi 18na kuutawala mchana na usiku na kutenga nuru na giza; Mungu akaona ya kuwa ni vyema. 19Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya nne.

20Mungu akasema, Maji na yajawe kwa wingi na kitu kiendacho chenye uhai, na ndege waruke juu ya nchi katika anga la mbingu. 21Mungu akaumba nyangumi wakubwa, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho, ambavyo maji yalijawa navyo kwa wingi kwa jinsi zao, na kila ndege arukaye, kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema. 22Mungu akavibarikia, akisema, Zaeni, mkaongezeke, mkayajaze maji ya baharini, ndege na wazidi katika nchi. 23Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya tano.

24Mungu akasema, Nchi na izae kiumbe hai kwa jinsi zake, mnyama wa kufugwa, nacho kitambaacho, na wanyama wa mwitu kwa jinsi zake; ikawa hivyo. 25Mungu akafanya mnyama wa mwitu kwa jinsi zake, na mnyama wa kufugwa kwa jinsi zake, na kila kitu kitambaacho juu ya nchi kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema. 26Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi. 27Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba. 28Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi. 29Mungu akasema, Tazama, nimewapa kila mche utoao mbegu, ulio juu ya uso wa nchi yote pia, na kila mti, ambao matunda yake yana mbegu; vitakuwa ndivyo chakula chenu; 30na chakula cha kila mnyama wa nchi, na cha kila ndege wa angani, na cha kila kitu kitambaacho juu ya nchi, chenye uhai; majani yote ya miche, ndiyo chakula chenu; ikawa hivyo. 31Mungu akaona kila kitu alichokifanya, na tazama, ni chema sana. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya sita.